‘Watoto’ wa DC Katambi wapokelewa Sober House By Unknown at November 20, 2018 Watoto waliokamatwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi kwenye msako wa kuwabaini watoto wanaotumia madawa ya kulevya aina ya gundi wamefikishwa katika Itega soba house ili kusaidiwa kisaikolojia ili warudi kwenye hali ya kawaida. Share :