-->

Gavana BoT azungumzia Wanajeshi kulinda maduka ya kubadilishia fedha

GUSA HAPA CHINI KUPLAY VIDEO

Gavana BoT azungumzia Wanajeshi kulinda maduka ya kubadilishia fedha


Leo November 20, 2018 Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Prof. Florens Luoga amesema kuna oparesheni maalum ya ukaguzi na udhibiti wa uendeshaji biashara ya fedha jijini Arusha.

Prof. Luoga amezungumza hayo baada ya askari wa JWTZ kuonekana wakiyalinda maduka ya kubadilishia fedha tangu jana asubuhi.
“Uchunguzi wa Benki Kuu umebaini kuongezeka biashara ya ubadilishaji na utakatishaji fedha. Kuna maduka hayajasajiliwa lakini yanafanya biashara hii kinyume cha utaratibu” -Prof. Luoga.

“Wote watakaobainika kukiuka sheria watafikishwa kwenye vyombo vya sheria na wote waliokuwa wanaendesha maduka hayo bila kufuata utaratibu leseni zao zimesitishwa” Prof. Luoga
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top