VIDEO: Mwanafunzi alivyochana mistari ya Joh Makini na kuwainua Weusi By Unknown at November 17, 2018 Mwanafunzi wa Mwenge High School iliyopo mkoani Singida aliwainua Weusi baada ya kuchana mistari ya Joh Makini mbele ya wanafunzi wenzake wakati wasanii hao walipotembelea shule hiyo kwenye Tour ya Kipepeo. Share :