VIDEO: Chege na mashabiki wake Singida ‘Mikono Juu’ mwanzo mwisho By Unknown at November 17, 2018 Kutokea TMK mpaka uwanja wa Namfua Stadium mkali Chege amewainua mikono juu mashabiki wake kutokana na show kali aliyoifanya usiku wa November 16, 2018. Karibu kutazama show hiyo hapa chini kwa kubonyeza PLAY. Share :