-->

VIBE aliloanza nalo Naibu Waziri wa kilimo, atoa maagizo “vinakwamisha Serikali”

GUSA HAPA CHINI KUPLAY VIDEO

VIBE aliloanza nalo Naibu Waziri wa kilimo, atoa maagizo “vinakwamisha Serikali”


Naibu Waziri wa Kilimo Innocent Bashungwa ameanza kazi yake kwa kufanya ziara katika taasisi mbalimbali zilizo chini ya wizara hiyo ambapo leo hii ametembelea Wakala wa taifa wa hifadhi ya chakula (NFRA) ambapo ameagiza idara ya masoko katika taasisi hiyo kusimamia kwa haraka suala la masoko kutoka UN.
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top