-->

“Mkandarasi hela ushakula napiga simu unakata, siukubali huu uhuni” WAZIRI MBARAWA

GUSA HAPA CHINI KUPLAY VIDEO

“Mkandarasi hela ushakula napiga simu unakata, siukubali huu uhuni” WAZIRI MBARAWA

Leo November 20, 2018 Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawaamefanya ziara ya ukaguzi wa Miradi mitatu ya Maji ambayo ni Nyabeho, Kinyambwiga na Balili iliyoko Mkoani Mara wilayani Bunda na kubaini miradi hiyo kuchelewa kumalizika kwauzembe.
Share :
Facebook Twitter Google+

Back To Top