-->

Kauli ya Naibu Waziri baada ya BOT kutumia Jeshi Arusha (+video)

GUSA HAPA CHINI KUPLAY VIDEO

Kauli ya Naibu Waziri baada ya BOT kutumia Jeshi Arusha (+video)


Moja ya headlines za karibuni ilikua ni Benki Kuu ya Tanzania kuwatumia Wanajeshi kwenye msako ilioufanya kwenye maduka ya kubadilishia fedha za kigeni Arusha ambapo leo tunae Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Costantine Kanyasu aliefunguka pia kuhusu matumizi hayo ya Jeshi.
Kanyasu amesema “Hili ni Jeshi la Wananchi na ni Jeshi ambalo huwezi kulikuta linakamata Majambazi, linatumika pale Nchi inapoona inahitaji kulitumia, ukiwaona Mtaani haimaanishi hawatakiwi kutumika” 

Bonyeza play hapa chini kumtazama akiliongelea hili mwanzo mwisho
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top