-->

Hiki ndicho kitu ambacho kikienda juu huwa akirudi chini,,!

GUSA HAPA CHINI KUPLAY VIDEO

Hiki ndicho kitu ambacho kikienda juu huwa akirudi chini,,!



Ni time tena ya Zuch Zuchero akiwa mtaani na watu mbalimbali ambapo amewauliza swali rahisi tu kuwa ni kitu gani amabacho huwa kikienda juu hakiwezi kurudi chini? kila mtu ametoa jiu lake kulingana na fikra zake zinavyomtuma kuhusiana na swali hilo.
Fanya kubonyeza PLAY hapa chini kutazama na kusikiliza majibu waliotoa wadau kuhusu swali hilo.
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top