Usiku wa November 17, 2018 staa wa muziki wa Dance nchini Christian Bellaaliwakusanya kwa pamoja watu wake wa Dodoma kwenye kiwanja cha starehe cha Lidaz Sky Lounge iliyopo juu ya ghorofa na kuwapatia burudani ya nguvu. Full video nimekuwekea hapa chini tayari na ni ruhusa kuitazama.

