AyoTVna millardayo.com zimezungumza na Wazee wenye umri zaidi ya miaka 90 walioamua kufunga Ndoa huko Geita Tanzania, nini hasa kimetokea mpaka wakachelewa kiasi hicho? mapenzi yao yalivyoanza yalikuaje? mapenzi ya sasa ya vijana wanayaonaje? bonyeza play hapa chini kuipata full story