-->

“Rammy Galis hawezi kuwa Kanumba” – Director John Lister (+video)

GUSA HAPA CHINI KUPLAY VIDEO

“Rammy Galis hawezi kuwa Kanumba” – Director John Lister (+video)


Director wa siku nyingi kwenye Bongomovie John Lister ameweka wazi upande anaosimamia kuhusu habari za kwamba Mwigizaji Mkali Rammy Galis ameliziba pengo la Marehemu Steven Kanumba.
Kwenye Exclusive Interview na AyoTV na millardayo.com Lister amezungumzia pia tofauti ya bongomovie zamani na sasa lakini pia hata maamuzi ambayo yeye alichukua baada ya kuona bongomovie ikielekea kwenye upande anaouita ‘bigijii’ bonyeza play hapa chini kumtazama mwanzo mwisho
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top