Mwigizaji Duma ambae alikua akizungumzia movie yake mpya ya ‘Mkono Mtupu’ambayo itaachiwa rasmi usiku wa December 31,2018  ameguswa pia na ishu ya Mwigizaji Lulu kuachiwa huru baada ya kifungo gerezani na kusema inabidi Lulu akatoe sadaka
Unataka kufahamu yepi mengine ameyasema Duma kuhusu Lulu? bonyeza play hapa chini kumtazama

