-->

Mwanaume ajinyonga baada ya Mwanamke kumnyima Mtoto, Mwanamke aongea (+video)

GUSA HAPA CHINI KUPLAY VIDEO

Mwanaume ajinyonga baada ya Mwanamke kumnyima Mtoto, Mwanamke aongea (+video)


Kila mmoja ana namna ya kupokea matokeo na ndio maana Washauri wanasema ukipokea matokeo kabla ya kufanya chochote tafakari na ikibidi omba ushauri kwa watu wako wa karibu, hili tukio limetokea maeneo ya Mji Mwema Mwanza.
Imeelezwa kwenye eneo la tukio kwamba Mwanaume alimuomba Mwanamke wake Mtoto waliozaa pamoja na baada ya Mwanamke kukataa kumpatia Mtoto ndio akaingia ndani na kujinyonga, kisa kamili kutoka eneo la tukio kitazame kwenye hii video hapa chini
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top