-->

Mashabiki wa Drake walivyomvamia Pusha T kwenye stage Canada. (+video)

GUSA HAPA CHINI KUPLAY VIDEO

Mashabiki wa Drake walivyomvamia Pusha T kwenye stage Canada. (+video)


Rapper Pusha T ameshambuliwa jukwaani na Mashabiki wa Drake usiku wa November 20,2018 huko Toronto Canada akiwa kwenye tour yake ya ‘The Daytona’ ambapo alivamiwa na kumwagiwa pombe huku Mashabiki wengine wakivamia jukwaa kutaka kumpiga.
Wengi wanaamini kwamba kitendo cha mashabiki hao kufanya hivyo ni kutokana na Drake kuwa mzaliwa wa Canada, Polisi walilazimika kukatisha show hiyo huku watu kadhaa wakijeruhiwa kutokana na chupa kurushwa lakini Pusha T alitoka salama baada ya kuchukuliwa na Walinzi wake, tazama kwenye hii video hapa chini.
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top