-->

EXCLUSIVE: Vikongwe wenye miaka 90 wafunga ndoa Geita (+video)

GUSA HAPA CHINI KUPLAY VIDEO

EXCLUSIVE: Vikongwe wenye miaka 90 wafunga ndoa Geita (+video)


Leo November 16, 2018 Kutoka Mwanza kuna hii ya kuifahamu ambapo James Ojode ni Mchungaji aliefungisha ndoa ya vikongwe wa zaidi ya miaka 90, kwenye Kanisa la Anglikana Geita.
Mchungaji James anasema “Mzee Daniel na mwenza wake kwa kuwa wao ni Wakristo wako huru kufunga ndoa, kwa kweli kwenye Kanisa letu hii ni ndoa ya kwanza kutokea watu wenye umri mkubwa” Mchungaji
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top