-->

DC Sabaya alivyoondoka na waliokula MILIONI 126 “mmekula mafichoni”

GUSA HAPA CHINI KUPLAY VIDEO

DC Sabaya alivyoondoka na waliokula MILIONI 126 “mmekula mafichoni”

Leo November 19, 2018 Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameondoka na watuhumiwa watano wa Chama cha Ushirika cha USWAA baada ya kubainika kula Milioni 127 za chama hicho baada ya kuletewa malalamiko huku akiwataka viongozi hao kulipa fedha hizo.
“Kwenye Serikali ya Rais Magufuli, Ukoo maarufu kuliko Ukoo wowote ni Ukoo wa maskini, mjipongeze mnatoka kwenye Uoo bora wa wanyonge, mmekula fedha zao leo mmefika mwisho” DC Sabaya
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top