AFISA AFYA DODOMA: “Hawaezeki vyoo wanaogopa nyoka” By Unknown at November 20, 2018 Leo November 20, 2018 Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na Shirika la GNI kupitia mradi wake wa Good Neighbours wameanza mchakato wa kupambana na kuzuia ugonjwa wa kipindupindu katika baadhi ya maeneo ya mkoa huo. Share :